Love and Care

Tunapenda na kujali. kumbuka ulapo na kushiba wapo wanaotamani kushibishwa na mabaki yako. Mama D showing some love

Wednesday, 26 February 2014

Pikipiki Zazuiwa Kuhudumu Kuanzia Saa Mbili Usiku Nairobi

Heko kwa NAIROBI, hii kitu tunaihitaji kwetu, Tanzania nzima make hizi pikipiki zimekuwa tabu.

Tuesday, 18 February 2014

Tucheke wote

Cheka na mc Pilipili.
 Swali ni je unaishi kwenye stoo?

Wow!

That's all I can say. Hili gauni limetendewa haki na vile napenda red nimechanganyikiwa.


Monday, 17 February 2014

Hapo sasa


The MUONEKANO

The MUONEKANO Mboni Masimba,Kwa Hisani ya Insta

Hongera Dina Marios

Hongera sana dadaake mie Mkashozi mwenza kwa kujaliwa na kujifungua salama mtoto mwanamume. Mungu akujuzie na karibu katika ulimwengu wa Furaha zaidi ya Zote wa kuitwa Mama. 

Sasa Hiyo JUMBE kutoka kwa bwana shemeji ni kiboko yao. Hongera sana.


Thursday, 13 February 2014

Habari za siku nyingi wapendwa

Natumaini mu-wazima wa afya. Mimi pia ni mzima na familia yangu, utukufu kwa Bwana Yesu Kristo.

Wapendwa Wangu nimekuwa kimya sana kwani nilijipa likizo ya UZAZI lol. Mungu mwaminifu ametujalia Mimi na mume  wangu mtoto mwanaume mwezi sasa.

Tuungane pamoja kuwaonbea ndugu zetu ulimwenguni kote ambao bado hawajapata watoto na wamekuwa wakiomba Mungu awajalie basi maombi yao yapate kujibiwa. Hakuna tasa chini ya imani kwani Ana na Sara walipata watoto wakiwa wazee.

Mungu Mwema awakumbuke wanawake wote wenye uhitaji wa watoto amina.

Tuungane pia kuwambea wamama wote ambao ni wajawazito wapate kujifungua vyema.

Kila la kheri Mablogga wenza, Dina Marios, Mange Kimambi na Shamimu aka  Zeze, mwaka wa Mablogga huu hihiii 

Kila la kheri pia my wifi, Mungu awafanyie wepesi amina

Mom D mwaka mpya. tulijua alikuwa mtoto mwanamume so blue mahala pake. So I am official mama watatu Asante Yesu Kristo wa Nazareth kwa kibali hiki.


Hizo Kg sasa
Picha zote na my Amani. Mtoto atapenda kupiga picha kama mama yake.

Tuesday, 11 February 2014

Mwanamke kucha

Recently I’ve been getting into natural nail soaks. Specifically DIY home remedy/kitchen recipes. I have been testing different ones out and am plesantly surprised that most of them actually work! I gathered my favorite recipes and literally have a nail soak for every type of nail problem. If you have any recipes to add, or stories and photos of your mixtures.. please share. Enjoy!
image

1. Yellow, or stained nails?
Stain Remover Soak
 • Hydrogen peroxide 
Directions: Apply Hydrogen peroxide to cotton balls then let sit on the nail beds for 3-5 minutes or until stains are removed. Rinse well, then apply a good cuticle oil. Hydrogen peroxide can be drying so please do not use this method more then once per week!
Nail Whitener Soak
 • 4 tbs lemon juice
 • 3 tbs warm water
Directions: Mix juice and water in a glass or ceramic bowl. Soak nails 10 minutes or until stains are removed. Rinse well, then apply a good cuticle oil. Lemon juice is a great natural bleach for getting yellow stains out!


2. Weak, brittle nails?
Milk & Honey Strengthening Soak
 • 2 egg yolks, beaten
 • 1/4 cup milk
 • 1 tbs honey
Directions: Mix ingredients in a small bowl. Soak nails for 10-15 minutes. Rinse well. Apply cuticle oil. Protein from the eggs and calcium from the milk will make those nails hard as rocks!
Fruity Strengthening Soak
 • 1 packet of gelatin
 • 1 tsp of warm fruit juice
Directions: Mix the packet of gelatin, with the warm fruit juice. Soak 10-15 minutes, once a month. Super strengthening formula!
Egg Soak
 • 2 Egg yolks
 • 1 tablespoon Olive Oil
Directions: Mix Ingredients in a small bowl. Soak nails for 10 minutes. Rinse well. Use this nail recipe 2 times a week for strong nails!
Milk Soak
 • Milk
Directions: Soak nails for 10 minutes. Rinse well. Use this nail recipe 2 times a week for strong nails!
Vinegar Soak
 • apple vinegar 
 • vegetable oil 
Directions: Keep hands in the mixture for 10-15 minutes. Do it 1-2 times a week.

3. Dry nails?
Moisturizing Nail Soak
 • 1 tablespoon Hemp Seed Oil
 • 3-5 drop Lavender essential oils
Directions: Mix ingredients in a small bowl. Soak nails for 10-15 minutes. Rinse well.

4. Peeling nails?
Garlic Soak
 • 1/2 cup Garlic Oil
Directions: Soak in garlic oil for 10-15 minutes daily. Garlic hardens and fortifies the nail bed. This will help to strengthen peeling nails.

5. Nails that just won’t grow?
Citrus Soak 
 • Orange Juice
Directions: Soak the nails for at least 10 minutes, then rinse. Orange juice contains folic acid which is great for hair and nail growth.
Tomato Juice Soak
 • 2 tbsp Olive oil
 • 1/2 cup Tomato juice
Directions: Blend ingredients in a bowl. Soak nails for 10 minutes, then rinse. Recommended once a week.

6. All the above?
Soak in extra virgin olive oil 10-15 minutes a day, for a month. Then twice a week thereafter. This will help to fortify damaged, weak or peeling nails. TRUST ME! I’ve done this and you will notice results instantly.