Love and Care

Tunapenda na kujali. kumbuka ulapo na kushiba wapo wanaotamani kushibishwa na mabaki yako. Mama D showing some love

Saturday, 3 November 2012

Jackline Wolper jikoni

Huyu ndiye Jackline Wolper akiwa home, upika Na kufua mwenyewe. Anasema bf wake hupenda apikapo.

Huyu ndiye mwenye Yale magari ya ukweli Na hapo ni jikoni mwake. Hupo hapo!

No comments:

Post a Comment

Uhuru wa kuongea si kukosoa maumbile ya mtu, twende kazi